Wasiliana nasi
Karibu. Tupigie simu, tutakusaidia.
Namba kuu0742 510 020Barua pepe[email protected]
Unauliza kuhusu mzigo?
Anza kwa kuufuatilia: utaona umefika wapi na ofisi ya kuuchukulia. Ukipiga simu, uwe na namba ya kumbukumbu.
Mzigo ukifika, mpokeaji anatumiwa SMS. Aje ofisini na namba aliyotumiwa kwenye SMS hiyo.
Fuatilia mzigoOfisi zetu
Kuhusu mzigo, piga simu ofisi uliyokabidhi mzigo au utakapouchukulia.
- 0742 510 020
Ofisi Kuu
- 0742 510 010
Kahama
- 0747 510 010
Dar es Salaam
