Fuatilia mzigo wako
Weka namba ya kumbukumbu uone mzigo wako ulipo.
Jinsi ya kufuatilia
Pokea SMS
Mzigo unapopokelewa, tunakutumia namba ya kumbukumbu kwa SMS. Ipo pia kwenye risiti yako.
Weka namba
Andika namba ya kumbukumbu hapa uone kama mzigo umesajiliwa, uko safarini, umefika au umekabidhiwa.
Fuatilia mzigo
Mtumaji au mpokeaji anaweza kufungua maelezo kamili kwa namba tunayotuma kwa SMS.
Unahitaji msaada kuhusu mzigo? Wasiliana nasi
